Hamia kwenye habari

AGOSTI 15, 2012
JAPANI

Tetemeko la Ardhi Nchini Japani— Kuanza Upya Mwaka Mmoja Baadaye!

Tetemeko la Ardhi Nchini Japani— Kuanza Upya Mwaka Mmoja Baadaye!

Mashahidi wa Yehova wanaendelea kutoa msaada kwa waokokaji wa tetemeko la ardhi nchini Japani mwaka mmoja baada ya msiba huo.