Hamia kwenye habari

Azerbaijan

 

Mashahidi wa Yehova nchini Azerbaijan

  • Mashahidi wa Yehova​—1,736

  • Makutaniko​—23

  • Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo uanofanywa kila mwaka​—3,642

  • Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi wa watu nchini​—1 kwa 5,912

  • Idadi ya watu​—10,127,000

2017-12-28

AZERBAIJAN

Mahakama ya Azerbaijan Yaamuru Irina Zakharchenko na Valida Jabrayilova Walipwe Fidia

Mahakama ya wilaya ya Baku imeagiza kwamba Irina Zakharchenko na Valida Jabrayilova walipwe fidia kwa sababu ya kufungwa isivyo haki kwa miezi 11.