Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Israel

  • Tel Aviv, Israeli​—Kuhubiri kwa Kirusi kwenye kijia cha ufuoni

Taarifa Fupi—Israel

  • 9,888,000—Idadi
  • 2,129—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 32—Makutaniko
  • 1 kwa 4,731—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Mashahidi Nchini Israel Wafanya Jitihada za Pekee Kushiriki Mahubiri ya Hadharani

In May 2019, Mashahidi wa Yehova nchini Israel wamefanya jitihada za pekee kushiriki katika mahubiri ya hadharani jijini Tel Aviv.