Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B12-B

Juma la Mwisho la Maisha ya Yesu Duniani (Sehemu ya 2)

Nisani 12

MACHWEO (Kwa Wayahudi siku huanza na kwisha jua linapotua)

MAPAMBAZUKO

  • Yesu ashinda na wanafunzi wake

  • Yuda apanga kumsaliti Yesu

MACHWEO

Nisani 13

MACHWEO

MAPAMBAZUKO

  • Petro na Yohana watayarisha Pasaka

  • Yesu na mitume wengine wawasili jioni inapokaribia

MACHWEO

Nisani 14

MACHWEO

  • Yesu ala Pasaka na mitume wake

  • Awaosha miguu mitume

  • Amfukuza Yuda

  • Aanzisha Mlo wa Jioni wa Bwana

  • Asalitiwa na kukamatwa katika bustani ya Gethsemane

  • Mitume wakimbia

  • Aulizwa maswali na Sanhedrini katika nyumba ya Kayafa

  • Petro amkana Yesu

MAPAMBAZUKO

  • Asimama tena mbele ya Sanhedrini

  • Apelekwa kwa Pilato, kisha kwa Herode, arudishwa tena kwa Pilato

  • Ahukumiwa kifo na kutundikwa Golgotha

  • Afa karibu saa tisa mchana

  • Mwili waondolewa na kuzikwa

MACHWEO

Nisani 15 (Sabato)

MACHWEO

MAPAMBAZUKO

  • Pilato akubali walinzi wawekwe ili kulinda kaburi la Yesu

MACHWEO

Nisani 16

MACHWEO

  • Manukato zaidi yanunuliwa kwa ajili ya mwili wa Yesu

MAPAMBAZUKO

  • Afufuliwa

  • Awatokea wanafunzi wake

MACHWEO