Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

‘Haitachelewa!’ (Wimbo wa Kusanyiko la 2023)

‘Haitachelewa!’ (Wimbo wa Kusanyiko la 2023)

(Habakuki 2:3)

Pakua:

  1. 1. Dunia yetu, inapendeza—

    Uliiumba kwa subira nyingi.

    Japo waovu, waiharibu.

    Unasubiri kuifanya upya.

    (KORASI)

    Baba, twatamani Paradiso ije.

    Tupatie subira.

    Siku yako yaja, haitachelewa.

    Iko karibu sana,

    Tuna hakika!

  2. 2. Utafufua waliokufa.

    Unatamani wawe hai tena.

    Baba, twajua unawapenda.

    Tusaidie tuwe na subira.

    (KORASI)

    Baba, twatamani Paradiso ije.

    Tupatie subira.

    Siku yako yaja, haitachelewa.

    Iko karibu sana,

    Tuna hakika!

  3. 3. Unatafuta; watu wazuri.

    Ili uwape uzima milele.

    Tunahubiri, pamoja nawe,

    Hilo hufanya tukukaribie.

    (KORASI)

    Baba, twatamani Paradiso ije.

    Tupatie subira.

    Siku yako yaja, haitachelewa.

    Iko karibu sana,

    Tuna hakika!

    Baba, tupe subira!

(Ona pia Kol. 1:11.)