Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Samehe Kabisa

Samehe Kabisa

Pakua:

  1. 1. Moyo wangu una kinyongo.

    Ninalemewa na huzuni.

    Kweli Amenikosea.

    Natamani kumsamehe,

    Ila nikikumbuka nashindwa.

    Tena nabaki na hasira.

    (KIBWAGIZO)

    Ninapata maumivu mengi.

    Yehova anaona mambo yote.

    Nami nasali kwake

    (KORASI)

    Kwa moyo wote.

    Nataka niweze kusamehe.

    “Nakuomba Baba

    Baba nipe nguvu.”

    Nataka kuiga

    Jinsi unavyosamehe kwa upendo,

    Nakuomba Baba;

    Baba niwezeshe

    Kusamehe.

  2. 2. Najaribu kuyasahau,

    Ila bado ninashindwa.

    Kweli ninalemewa sana.

    Ninajua ninahitaji

    Kusamehe kutoka moyoni.

    Ili niwe na furaha.

    (KIBWAGIZO)

    Ninapata maumivu mengi.

    Yehova anaona mambo yote.

    Nami nasali kwake

    (KORASI)

    Kwa moyo wote.

    Nataka niweze kusamehe.

    “Nakuomba Baba

    Baba nipe nguvu.”

    Nataka kuiga

    Jinsi unavyosamehe kwa upendo,

    Nakuomba Baba;

    Baba niwezeshe

    Kusamehe.

    Kusamehe.

    Kusamehe.

    Kusamehe.